Graham Maxwell
Tafsiri kutoka Kiingereza hadi Kiswahili: Pastor Mary Mercy Kobimbo, PhD
Hakimiliki © 1977, 2002 by A. Graham Maxwell. Haki zote zimehifadhiwa.
Pine Knoll Publications, Redlands, California
MUNGU ANAWEZA KUAMINIKA? Inazingatia maswala katika pambano kuu juu ya tabia ya Mungu. Akiwa mwenye neema na mwenye kusadikisha kama alivyo, mwalimu huyu mkuu anatualika tuchunguze waziwazi uthibitisho wa Biblia na tufanye uamuzi wenyewe ikiwa ukweli uko upande wake na ikiwa tutamwona kuwa anastahili kuaminiwa nasi/imani yetu.
Yaliyomo
- 1MGOGORO WA UAMINIFU
- 2MUNGU ANAWEZA KUAMINIKA?
- 3MALAIKA WENYE HABARI NJEMA
- 4HABARI NJEMA NI NINI?
- 5IMANI KATIKA MUNGU SIO KAMA MAVUNO GIZANI
- 6BIBLIA INAWEZA KUAMINIKA?
- 7UKWELI KUMHUSU MUNGU KATIKA VITABU VYOTE SITINI NA SITA
- 8KWA NINI YESU ALIPASWA KUFA?
- 9HESHIMA YA MUNGU KWETU SISI WENYE DHAMBI
- 10KUMWABUDU MUNGU BILA HOFU
- 11HABARI NJEMA JUU YA HUKUMU
- 12UKUMBUSHO WA USHAHIDI
- 13MUNGU ANATUSUBIRI TUMWAMINI
- 14Kuhusu Mwandishi
