Mungu Anaweza Kuaminika?

Graham Maxwell
Tafsiri kutoka Kiingereza hadi Kiswahili: Pastor Mary Mercy Kobimbo, PhD
Hakimiliki © 1977, 2002 by A. Graham Maxwell. Haki zote zimehifadhiwa.
Pine Knoll Publications, Redlands, California

Pakua PDF

MUNGU ANAWEZA KUAMINIKA? Inazingatia maswala katika pambano kuu juu ya tabia ya Mungu. Akiwa mwenye neema na mwenye kusadikisha kama alivyo, mwalimu huyu mkuu anatualika tuchunguze waziwazi uthibitisho wa Biblia na tufanye uamuzi wenyewe ikiwa ukweli uko upande wake na ikiwa tutamwona kuwa anastahili kuaminiwa nasi/imani yetu.